For a better experience please change your browser to CHROME, FIREFOX, OPERA or Internet Explorer.
  • arg+ na mult maca
  • arg+ na mult maca

Description

Type : Sell
Date : 25/06/2019
Location : namanga

BORESHA AFYA YA UZAZI NA FOREVER ARGI+
Kwanini utumie ARGI+
••••••••••••••••••••••••••••• 1. Argi+ itasaidia kwenye kuondoa sumu mwilini kutokana na matunda ya berries na komamanga.

2. Itatanua mishipa ya damu na kurekebisha msukumo wa damu hivyo kusaidia afya ya moyo na magonjwa ya moyo pamoja na pressure.

3. Itasaidia kurekebisha matatizo ya nguvu za kiume maana damu kutembea vizuri ndio kila kitu kwenye hilo eneo,
4. Itasaidia kwenye kujenga mifupa na misuli hasa hasa kwa wale wanaofanya mazoezi sana.

5. Husaidia kwenye kupunguza kiwango cha Cholesterol kwenye damu.

6. Huusaidia mwili kutengeneza homoni zinazopunguza kuzeeka kwa haraka kupita umri wako.

7. Husaidia kila mfumo wa mwili na hivyo kukupa afya njema na kuepuka magonjwa yasiyoambukiza.

8. Husaidia INI katika zoezi la kutoa sumu mwilini
9. Kusaidia kuzuia ukuaji wa Tezi dume,na pia kusaidia kuzalisha mbegu zenye afya

10. Husaidia kubalasi homoni aina zote zikiwemo Estrogen na progesterone pamoja na Testosterone. Hivyo kusaidia afya ya uzazi katika jinsia zote
MATUMIZI:- Unaweza changanya na maji,juice fresh,maziwa au mtindi. ..
..
.. FOREVER MULTI-MACA
KAZI ZAKE KWA MTUMIAJI WA KIUME.
1 – Huongeza hamu ya tendo la ndoa, stamina na nguvu za kiume.
2 – Inaongeza idadi ya mbegu za kiume.
3 – Inasaidia kutofika kileleni kwa haraka.
4 – Huimarisha misuli ya uume uliolege.
5 – Husaidia kubalance hormones kwa wenye tatizo la Hormones imbalance.
6 – Husaidia mwanaume kutoa mbegu zenye afya na zenye uwezo wa kuogelea na kulifikia yai kiurahisi, N.K .
.

Mention dealstz when calling seller to get a good deal

 


Location

Post your rating


Similiar Ads

Top