For a better experience please change your browser to CHROME, FIREFOX, OPERA or Internet Explorer.
  • best toothgel

Description

Date : 26/07/2019
Location : tan house victoria

Dawa ya meno ya FOREVER BRIGHT ALOE TOOTHGEL imetengenezwa kwaajili ya familia nzima na pia kwa wanyama. Bidhaa hii imetengenezwa bila kutumia kemikali ya fluoride badala yake imetengenezwa kwa kutumia quality ya hali ya juu kwa kutumia alovera na asali. Pia imeongezwa na fleva ya mint kukufanya Ujisikie fresh mdomoni Muda mrefu na meno kuwa masafi pia ni nzuri kwa watu ambao ni vegetarians kwani haitokani na malighafi zinazotokana na wanyama (no animal byproducts)

Faida nyingine
🌻Haina fluoride(ni Salama kwa mtoto hadi watu wazima)

🌻Kusaidia fizi zinazotoka damu
Meno yanayouma

🌻unaweza Tumia kama huduma ya kwanza(first aid) kama umejikata,kuungua n.k
Harufu mbaya mdomoni
🌻Kung’arisha meno
🌻Kulinda meno kutotoboka/kuvunjika
🌻kuondoa weusi wa meno

.
Tumia wewe na familia ujionee tofauti
0786657888
KARIBU SANA.

Mention dealstz when calling seller to get a good deal

 


Location

Post your rating


Similiar Ads

Top